Hata hao tunaowapiga mshedede leo wanalipa madeni ya baba zao. Potelea mbali.
I will one day revenge, unless I die before you.
Tukiwa realistic tunachotakiwa kufanya ni ku focus kwenye yakwetu Don, ikitokea wengine wame slip ni juu yao ila sisi lazima tuwe focused kwenye yakwetu.Hiyo ya kufanya yetu ni kupeana hamasa, ila kimoyo moyo adui lazima umwombee njaa.
Unakumbuka kuna game Leicester anafunga goli la 2 vs City na sisi tunafunga goli la 4 vs Newcastle, watu wanashangilia goli la Leicester badala ya lile la Liverpool mpaka Klopp akawa ànashangaa.
Sasa ulisema kutakuwa na illustrations na practicals sijaona hata moja!
Hata nikifuta kauli haitafaa bado?Ulikataa maelezo kwa vitendo....
Nimejaribu kwa maandiko. ...
Ungekubali mapema. ..saahii ungeshakuwa umenipata
Hata nikifuta kauli haitafaa bado?
Tukiwa realistic tunachotakiwa kufanya ni ku focus kwenye yakwetu Don, ikitokea wengine wame slip ni juu yao ila sisi lazima tuwe focused kwenye yakwetu.
Hatuwezi eti leo tunakesha kuombea city apigwe na sisi game zetu tunalega lega, utashangaa tu wanatuwashia indicator wanaomba wapite soon
Mdada shupavu lindoni nakupenda sana naomba nikuoe tuHujaniambia kama umesharudi?
Keki iliisha ila tunaweza kula kitu ingine
YNWASure man, pamoja.
Unayumba, kisa tu kichapo cha mwarabu unakimbia lindo [emoji23]
Hujaniambia kama umesharudi?
Keki iliisha ila tunaweza kula kitu ingine
Zuri katika ubora wake bila chakavuHili jibu la kukata tamaa. Pambana chief.
Ukipa muda unijibu swali hili. "Unamjua mwenye akili yukoje au ni nani au ana sifa gani ?"
Gaiii. Sio poa kabisaaa [emoji23]Fanya ujaribu tena siku nyingine. ....[emoji6][emoji6]
Mwenye akili? Haya nijuze mi simjui.Hili jibu la kukata tamaa. Pambana chief.
Ukipa muda unijibu swali hili. "Unamjua mwenye akili yukoje au ni nani au ana sifa gani ?"
Wewe don gani unapenda keki hivyo Don ClericuzioHivi bbade keki uliniwekea?
Revenge haina maana zaidi ya kuupoteza muda tuRevenge yangu haihusu wanawake. Hiyo kuna mtu inamhusu. Na nikiiona huwa inanipa mzuka.
I will one day revenge, unless I die before you.
Una masharti kamanda kama ya mstaafu kamanda KOVAFanya ujaribu tena siku nyingine. ....[emoji6][emoji6]