Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,903
Magirl jaribu MMU kamanda. Hapa wakitokelezea sana hawazidi watatu ila jaribu bahati yako [emoji16][emoji16][emoji16]Still sipati hao ma girl dehm but nina maboy kadhaa ni ma arif sai
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha fiti shida ni niki post kitu kuna watu kadhaa wanaanza kuteta about my swahili nikaa wananitusi na ku generalise kenya nzima na swahili yetuNiliona unaita watu waje PM au Whatsapp ndo maana nikasema hivyo. Mine was just a simple and an innocent observation kamanda. Feel free and do your thang [emoji106][emoji106][emoji106]
OK. Feel free bana...Just be free...or just use English if Swahili is bothersome....Haha fiti shida ni niki post kitu kuna watu kadhaa wanaanza kuteta about my swahili nikaa wananitusi na ku generalise kenya nzima na swahili yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
MMU ndio?Magirl jaribu MMU kamanda. Hapa wakitokelezea sana hawazidi watatu ila jaribu bahati yako [emoji16][emoji16][emoji16]
Buda,atleast uko mature wish wangekuwa ka ww,ama you kenyan?OK. Feel free bana...Just be free...or just use English if Swahili is bothersome....
Wapo tu buy time yako usifanye kuwa na haraka.Still sipati hao ma girl dehm but nina maboy kadhaa ni ma arif sai
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna wadau wamekuja kutega ndoano humuMagirl jaribu MMU kamanda. Hapa wakitokelezea sana hawazidi watatu ila jaribu bahati yako [emoji16][emoji16][emoji16]
Una ongelea simba huyu wa Leo aliye pigwa 5 au?Wapo tu buy time yako usifanye kuwa na haraka.
Simba mwendapole ndie mla nyama.
Sasa unakua disrespectiful.. Unamaanisha wa TZ hawako mature na hawana respect ama vipi?
Zii,nauliza tu coz hateti ati nina kiswahili kibaya,ebu enda ucheki my posts uone kuna watu kadhaa watatu wameshinda tu wakinisumbua,I dont generalise pple hata angalia my posts,hio ni ujinga ati kuchukua watanzania wote na kuwaweka box moja, i dont do that shit,hata kama toka nikam nimekuwa nikiekwa kwa box moja,unatext kitu mtu ashaanza kuropokwa hawa wakenya sasa unashangaa mbona ku generalise,si you call mi by my nameSasa unakua disrespectiful.. Unamaanisha wa TZ hawako mature na hawana respect ama vipi?
Fiti buda nimekusoma poa.Zii,nauliza tu coz hateti ati nina kiswahili kibaya,ebu enda ucheki my posts uone kuna watu kadhaa watatu wameshinda tu wakinisumbua,I dont generalise pple hata angalia my posts,hio ni ujinga ati kuchukua watanzania wote na kuwaweka box moja, i dont do that shit,hata kama toka nikam nimekuwa nikiekwa kwa box moja,unatext kitu mtu ashaanza kuropokwa hawa wakenya sasa unashangaa mbona ku generalise,si you call mi by my name
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja mkuuNawasalimia waungwana.....!