Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,770
- 82,218
Huu mchezo wa hatari sana ila ukiwa na akili na hela ni mchezo mzuri tu. Mbaya usiwe na njaa maana utaongezewa njaa zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]Sielewi cho chote kuhusu haya mambo na sijawahi kubet ndo maana sikujaribu hata kuangalia [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh hata sijaelewa kitu.. Lahaja ni nini chief?
Ahaa hapo nimekupata angalau[emoji16]Dialect...
Hahaha hajarudi kutoka maji ya chai bado[emoji23]Naona Felister leo anachaji simu Ijumaa nzima. Hakika Ijumaa ni siku nzuri sana ya kuchaji simu [emoji16][emoji16][emoji16]
Captain 😂😂😂Hahaha hajarudi kutoka maji ya chai bado[emoji23]
Felister bana...Hahhahaha ijumaa ni weekend eti, Nmetoka shule nkafua uniform then nkaenda tuition [emoji16][emoji16][emoji16]nmerudi Nlkua Nna homework nyingi [emoji125][emoji125][emoji125]
Dah sikuipata hata hii notification nilikua nazurura tu huko mitaa ya JFAsanteni walinzi wenzangu. Leo nimekaa sana. Chaliifrancisco endeleza lindo kamanda. Asante Zurri kwa mjadala mzuri kuhusu lugha yetu ya Kiswahili. Tunaweza kuuendeleza tena kesho tukijaliwa. Bbade usisahau kunipitia kesho kwenda kwa Mwakasege kama ulivyoahidi. Goodnight [emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahhahaha ijumaa ni weekend eti, Nmetoka shule nkafua uniform then nkaenda tuition [emoji16][emoji16][emoji16]nmerudi Nlkua Nna homework nyingi [emoji125][emoji125][emoji125]
Kwahiyo saizi umeamka unasoma au?Captain [emoji23][emoji23][emoji23]
Nafanya homeworkKwahiyo saizi umeamka unasoma au?
Hahahha na wewe Mapumzko mema na yenye amani....upumzke haswaaaa mana jumatatu sio mbali hataFelister bana...
Wikiendi ni wakati mzuri wa kuchaji simu kwa kweli. Uwe na wikendi njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ukipatana na swali unashindwa leta hapa nikusaidieNafanya homework
Sawa Bro ☺ ☺Ukipatana na swali unashindwa leta hapa nikusaidie
Asubuhi uwahi kuamka uende jumuiyaSawa Bro [emoji5] [emoji5]
huo usingizi wa aina yake aisee!!Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitarudisha shukrani zangu za dhati kwenu na kuwapa kongole za kutosha,kwa ushirikiano wenu mpaka muda huu.
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Hapa nina usingizi balaa,nikiendelea kuandika sana nisije kuandika "bbade i love you". Hatari sana usingizi.