JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23]aisee ntawarazama documentary ypu tube
Utawakuta wako mamilioni wamebanana sawasawa. Baada ya muda walio pembeni nao wanapewa nafasi ya kuja katikati kwenye joto na wa katikati wanaenda pembeni na mbadilishano huo unaendelea. Unakuta hali ya hewa ni -50F lakini kwenye kutaniko lao wameshonana joto lipo mpaka 40F...
 

Aisee hili ni kutaniko takatifu kabisa[emoji1487][emoji1487]
 
Unanipa shida kubadili kwenda Celsius. ......[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…