JamiiForums Usiku wa manane

hivi huo mchezo ni wakweli au ni kama movies tu mjumbe? Maana nimeshajaribu kufuatilia kujua ukweli ila bado napata majibu mkanganyiko mwingi
Ni uigizaji tu mjumbe tho kwa kuwa kuna kurukaruka watu wanaumia baba la baba wwe nafuatilia kwa kuwa ni so entertaining mkuu, ni kama wanaoigiza movie [emoji688]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…