JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha asee unajua ilikua suprise kwanza nimeshangaa kuona uzo nika mind kiaina kuwa jana tupo lindo ila hata kututonya hujataka kabisa [emoji23][emoji23]
Kusema ukweli nilisahau. ...
Nimefanya kukumbushwa...
Uzeee mbaya huu....
Shukrani wanalindo wenzangu kwa kunitakia heri. ..ingawa keki nimewanyima. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…