Eti kwa Mara ya kwanza ndio napewa likes tena baada ya kulalamika au mi nnadamu ya kunguni Kama Yule jamaa aliyewafungulia uzi kabisaHuu uzi mi sipewagi likes ndio maana nauchukia na wote waliomo mlaamiwe siwapendi
we ni shabiki wa chelsea na simba pia bila shakaInapendeza kuona imeisha salama japo kwa machungu kwa sisi wapenda kandanda!
Nilipata pipi jiti, nitakuletea ukifika "usiku wa manane"Uniletee pipi kijiti[emoji39]
Haya nipe pipi yangu
Ndio
Mimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
Ulikuwa wa kurambishwa tuuuu!Mimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
pole sana dah,Mimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
Ongeza na ya leo kabisaMimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
Kumbe unafikaga huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmewamiss humu