Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Aah pro 24 Dj's wale kina dvj seven, dj scratch designer, dj micho, dj ally b,dj dea... au nimebugi Dada?? sio hao??... Kama ndo hao basi nikupe respect....Mimi napenda musics sana aina zote ili mradi udamshi, nina nyimbo na cd zote za pro 24 djs, kibongo wapo vizuri.
Nitakuchapa ujue...... Down Under [emoji3575][emoji3575][emoji274][emoji160][emoji474]Usiku huu wa manane jua utalipata wapi? Au "jua" la kitandani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu Manzese ila ni Marufuku kukimbia baridi. Pambana na hali yako !!!Nitakuchapa ujue...... Down Under [emoji3575][emoji3575][emoji274][emoji160][emoji474]
Asante Sana.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu Manzese !!!
Hao hao ushawapata coco beach wakipiga kwenye projector? jamaa wanajua jamani hapo dj ally ukimkuta maisha ya dar akipiga ni hatari nawakubali mbaya..Aah pro 24 Dj's wale kina dvj seven, dj scratch designer, dj micho, dj ally b,dj dea... au nimebugi Dada?? sio hao??... Kama ndo hao basi nikupe respect....
Hao jamaa hawafai hao washkaji!... me dj ally ndo alinifundishaga ujue ila saivi Niko maisha club ya dom.. ila kiukweli Pro 24 ni konyo mamaaa..Hao hao ushawapata coco beach wakipiga kwenye projector? jamaa wanajua jamani hapo dj ally ukimkuta maisha ya dar akipiga ni hatari nawakubali mbaya..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Niponani yupo lindoni
haya tufunge lindoNipo
hapa songi la skales booty language.. wadau wanasema niirudie yaan
Hahahaha yaani fire.. inabidi uwe pembeni yangu yaani bonge la mc... me huku napiga magoma..
wale Wazee wa kukesha club dj Rk montanah nakiwasha club maisha hapa dom
ndiyo mkuuWee ni DJ ? asee
Oooh OK, vzrndiyo mkuu