Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3]
Mbadala wa dawa upo bana ...hujawahi ambiwa umeze flamar badala ya panadol!!?
Ila ni kweli. Ulipotea sana. Kama hujambo basi Mungu Ashukuriwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Bila samahani....endelea kuutelezesha...
Uzima upo...nashukuru.
Za kwako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3]
Mnanionea mjue. Ila sawa tu
Baadae jamani[emoji23] [emoji23]
Sijawahi kukutana na dokta mwenye roho ngumu hivi kwakweli.
Nimeamini sio kila anaevaa koti jeupe ni daktari, wengine tuko kwenye tasnia yetu ya meat engineering.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3]
inawezekana ukawa ni wewe maana id fake nazo mhh
Ila ni kweli. Ulipotea sana. Kama hujambo basi Mungu Ashukuriwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji3][emoji3][emoji3]Baadae jamani
Ungesema tukakuchangia chapu chapu. We ni wa kuishiwa kifurushi jamani?Amina...
Niliiishiwa kifurushi ikabidi nisubiri mpaka nizichange tena....
Mungu mwema, ni matumaini yangu honeymoon ishaisha, urudi kilingeni[emoji40]Bila samahani....endelea kuutelezesha...
Uzima upo...nashukuru.
Za kwako?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haiwezekani ikawa mimi, wakati nakua hizi shule za mzungu hazikuwepo kabisa.
[emoji106]Lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mkuu.
Mimi nilihifadhi 6 chapchap na zote ziko mahali tofauti tofauti. Flash drive hii ikifa nahamia nyingine. Naona nitaifremu mojawapo iwe kwenye sebule yangu kabisa. Huyu yna2 we acha tu...
Anzisha mchakato. I will be honoured [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itabidi upate tuzo ya mtunza picha bora wa karne