Sijakuelewa hebu fafanua kidogo
Uje na mkeo keshoIla ulinzi kazi unamlinda bosi yuko na mkewe halafu wewe mkeo umemuacha katika hali gani usiku huu
Acha nitafute pa kuudondoshea
Lete ladies.. Au niwaite mods waingilie hili sualaNimeshiindwa kukujibu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Wallah
Watakuja kwa muda wao...subraLete ladies.. Au niwaite mods waingilie hili suala
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Jirani tena?
Usije kujisahau # nimeisahau.....
Narudi
Umeisahau nini ?Jirani tena?
Usije kujisahau # nimeisahau.....
Narudi
Nimemkumbuka rafiki yangu ndo nikawa nawaza tuUje na mkeo kesho
Kumbe nilikuwa sijakuelewaUlitusalimia mkuu nikajibu salamu
Zamani walikiwaga wanasema mambo unajibu byeeeeerr
Avataaaaaaaar niipendayo sana....[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ahsante kipenzi
Mkuu jana Thad alikutafuta mpaka Bhadolite hakukupata. Kwema lakini?[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Chat haina balance.. No ladies
Orodha ya wanaosinzia tafadhari tuwafyekeelia mbali..Asante kamanda. Naona walinzi wamesinzia