Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,468
- 95,991
Hivi SAA hz wapi napata mlupo ,kino au sinza, nawaachia lindo
Afadhali maana sipati picha.
Nikawaza....na kuwazua
Mie nalinda hapa CRDB Makumbusho02:48
Mie nitajitolea kuwalipia malazi na chakula
Mie usafiri wa kuwapeleka na kuwarudishaMie nitajitolea kuwalipia malazi na chakula
Papichullo nimewaacha hapo.Hivi SAA hz wapi napata mlupo ,kino au sinza, nawaachia lindo
Mie nitajitolea kuwalipia malazi na chakula
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ni zaidi ya ukarimu, au kuna kitu unakichoche hapa?[emoji848]
Naogopa kupendwa.
Maana napend sana pesa mie
Hapana.[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ni zaidi ya ukarimu, au kuna kitu unakichoche hapa?[emoji848]
Fanya hivyo, ahsante kwa ramani ,napita kote hukoPapichullo nimewaacha hapo.
Au nenda Masai....sa hv nanyoosha La Chaaz.
Ngoja nikifika nitakutupia mmoja wapo ukahangaike nae
Sasa wakatae wao tu.Mie usafiri wa kuwapeleka na kuwarudisha
Mie usafiri wa kuwapeleka na kuwarudisha
Yaani washindwe wenyewe na vinywaji tunawalipiaSasa wakatae wao tu.
Kila kitu tusha-arrange
Asante kaka.Ndiyo maana nakupenda ujue.....
Alaa kumbe![emoji848]Hapana.
Ni ofa tu nimewatunuku.
Uko na kaka yangu mpendwa hapo
Waoooooo.....nahisi kama unaniingia moyoni vilePesa ni kawaida kwa mapenz ya siku izi
Muhimu nyie muanze kupanga ratiba yenuSafi sana,
Halafu sijazoea foleni hivo chopa itahusika
Papichullo nimewaacha hapo.
Au nenda Masai....sa hv nanyoosha La Chaaz.
Ngoja nikifika nitakutupia mmoja wapo ukahangaike nae