Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,932
- 3,406
Wee...mkuu hapo lazima mpate A+Nimeleta dem geto.... Akaenda kwa mlango.. Nikadhani anataka kuondoka.. Kumbe anaangalia kama mlango umefungwa vizuri. Halafu tukaanza kusoma na kudiscuss. Kumbe hapendi kusumbuliwa na kelele tukisoma.
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Kabisa yaani. Vere siriazi yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Wee...mkuu hapo lazima mpate A+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu mi hapa nipo nakukodolea majicho na meno nje km mambaLeo walinzi nawachekesha chekesha tu. Kama nawaboa semeni. Najua huwa mna stori zenu wenyewe mnajuana [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Umenichekesha mpaka nimeulizwa nani huyo? Nikasema Shimba, hapa nimeambiwa nije kulala kwako. ...niko njiani nakuja.Leo walinzi nawachekesha chekesha tu. Kama nawaboa semeni. Najua huwa mna stori zenu wenyewe mnajuana [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Karibu sana aisee. Njoo tucheke mpaka asubuhi. Wewe nakujua hunaga makuu. Humble. Cheerful and down to Earth...Umenichekesha mpaka nimeulizwa nani huyo? Nikasema Shimba, hapa nimeambiwa nije kulala kwako. ...niko njiani nakuja.
Na mlango atafunga ili mcheke hadi asubuhiKaribu sana aisee. Njoo tucheke mpaka asubuhi. Wewe nakujua hunaga makuu. Humble. Cheerful and down to Earth...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka nikiwa primary niliandika composition.. MY GRANDMOTHER KICKED THE BUCKET WITH FLYING COLOURS. Viboko nilivyotandikwa sitasahau aisee !
[emoji57][emoji57]
kichwa cha treniJiandae kula rungu la kichwa
[emoji276]popo & bundi