Hahaha hapo kwe kuwezeshwa ndo mnapakomalia sana hampendi kabisaa kutoa ela sahivi eti kisa 50 kwa 50 em acheni hizo mambo buanaBungeni kule tunasikia 50 kwa 50
Wanawake wanaharakati tunawasikia wakisema bila kuwezeshwa mnaweza
Sasa sijui yana ukweli kiasi gani
Kweli sisi wanaume hatuwawezeshi
Lete ile kahawa kali na tukashata kidogooShost ngoja nikaandae kahawa tunywe maana naona usingizi umeanza kunitongoza
Sawa best, ningoje hapo nakujaLete ile kahawa kali na tukashata kidogoo
Kuchepuka kunakuja automatic wakati mwingine nyie kinadada mnachangia kutushawishiWasijitetee hapa na swhwmu kubwa wanayoiwazaga wao ni kwe uchumi tu ila kuchepuka utasikia oohh mi mwanaume llooh
Hahahah unaona sasa mambo yenu eeeKuchepuka kunakuja automatic wakati mwingine nyie kinadada mnachangia kutushawishi
Aisee mnataka kusepa kimya kimyaShost ngoja nikaandae kahawa tunywe maana naona usingizi umeanza kunitongoza
Si mnaweza bila kuwezeshwa nyieHahaha hapo kwe kuwezeshwa ndo mnapakomalia sana hampendi kabisaa kutoa ela sahivi eti kisa 50 kwa 50 em acheni hizo mambo buana
Ndo matatizo yanakujaga hapa sasa 50 kwa 50 sio na pesa za matumizi jamani eee tuwekane sawa kwenye hiliSi mnaweza bila kuwezeshwa nyie
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa pesa si inatafutwa mkatafute na nyieNdo matatizo yanakujaga hapa sasa 50 kwa 50 sio na pesa za matumizi jamani eee tuwekane sawa kwenye hili
Kalale tu mi nipoNa mimi nakimbia sasa hvi hapa
Fegi sio nzuri ktk lindo, inatoa kijimwanga ,utaonekana ulipo jificha [emoji1] [emoji1] na redio piaLindo, kabla hujaenda lindo kwanza unachkua kakinywaji, fegi kadhaa, maji, kirungu cha mgambo, na smatfone, na karedio, tochi, nk [emoji848]
Hali ya lindo vipi mkuuMlinzi mwandamizi nakagua lindo
Naona walinzi hawapo,cjui tatizo nnHali ya lindo vipi mkuu
Nchi gani hii?Karibuni tupate halwa ya usiku wa manane.View attachment 874932
Z'bar Mkuu karibu.Nchi gani hii?