JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] umenikumbusha leo mchana nilikua naangalia movie ya jamaa alochezaga MR BONES
Sasa jamaa kakimbiza gari spidi kubwa mno trafiki alivomkamata akamuuliza jina, jamaa akajibu kwa ki zulu(nkosi nto nto ntu.....) jina refu kweli trafiki ni mzungu ikabidi amuambie "nenda"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] umenikumbusha leo mchana nilikua naangalia movie ya jamaa alochezaga MR BONES
Sasa jamaa kakimbiza gari spidi kubwa mno trafiki alivomkamata akamuuliza jina, jamaa akajibu kwa ki zulu(nkosi nto nto ntu.....) jina refu kweli trafiki ni mzungu ikabidi amuambie "nenda"
Hio movie inaitwa PANICK MECHANIC,hahah.
 
Kop huyu Soton tumtandike ngapi nataka niandike kimakala cha kufurahisha. Tatizo naogopa leo Klopp anaweza kufanya rotation alafu madogo wakazingua.

Nimepita Echo wanazungumzia issue ya Hendo, Gino na Keita katikati, Milner apumzike.

Pia Bobby anaweza kukaa benchi, Salah kocha kamtetea, so ataendelea kuwemo.

In that scenario cleansheet ya 2 goals itakuwa tamu.
 
Hofu yangu ni pale nyuma naona kuna uwezekano wa Mignolet, Lovren na Moreno kuanza. Lallana na Shaqiri pia nao naona wanaweza kuanza
 
Back
Top Bottom