JamiiForums Usiku wa manane

Nitajaribu kujibu kwa uelewa wangu.

Unajikuta hauko tena na Mapenzi na yule mtu.

Unaenda kutafuta kitu kilichokosekana kwa mahusiano yenu.

Tamaaa
Kwa nini usivunje mahusiano kabla hujatafuta mahusiano mapya ikiwa umeshaona kuna mapungufu usiyoweza kuvumilia?
 
Yah then why not sit and talk, maana nyie women likes to talk, km ulimpendea mwenzio kwa pesa afu ikaisha labda ila km ni swala la kiutendaji si mnazungumza tu kuliko kukipeleka nje
Kupenda hakuhusiani na Pesa.
Na kuongea ndio kila kitu.
Mnasemana mnatukanana na mwisho wa siku mnapatana. ...

Ila ukikitembeza nje utakuwa una vunja mahusiano taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…