Najikubali sana ila sipendi kusifiwa hasa hadharani. Sifa zina madhara yake,mara nyingi humfanya mtu au humpelekea mtu kufanya yale yaliyo nje ya uwezo wake.Aisee
wewe ni gt mkuu, jikubali bana
unakamua hata maziwa ya mbuzi
Basi sirudii, nitakuwa nakusifia mafichoni boss.Najikubali sana ila sipendi kusifiwa hasa hadharani. Sifa zina madhara yake,mara nyingi humfanya mtu au humpelekea mtu kufanya yale yaliyo nje ya uwezo wake.
Hatari sana kusifiana sifiana hadharani kwa ufupi ni fitna na ni sumu inayoua tararibuuu. Ukija kustuka ushaharibu mambo kibao.
Una kibali cha kuishi nchini..@Thad huyu huyu naemjua mimi ? Mkuu ujue mi natoka congo ,huogopi ?
Wanajaribu kumpiku Anko Ndenga HAHAHANa kagari kale kachafu vile wakakipamba hivyo hivyo haha. Wangekipeleka hata car wash kwanza kabla hawajakipamba kwa matangazo ya Miss Tanzania 😀😀
Bado hawajamtangaza mshindi tu?
Una kibali cha kuishi nchini..
Chumchang Changchum huko uliko ni saa ngapi saa hizi?Wanajaribu kumpiku Anko Ndenga HAHAHA
19.11,Jana ulituacha wapwekeChumchang Changchum huko uliko ni saa ngapi saa hizi?
Huku kwetu bado ni mchana, usiku ukifika nitakujibu19.11,Jana ulituacha wapweke
Sawa ngoja nijipange tuonane mida ile....Huku kwetu bado ni mchana, usiku ukifika nitakujibu
Jana nilikuwa hoi bin taabani ndio maana sikutokea huku. Leo pia sitakuwa nanyi ngoja nipumzike! Usiku mwema nyote nawatakia lindo jema [emoji8] [emoji8] [emoji8]19.11,Jana ulituacha wapweke
Yo are not aloneFinally
Watu[emoji1]Mupo mapopo
hi I ndo powerhouseNani mwenye kosa hapa?
View attachment 861636
Duuh aisee Hiyo kaliUsipotoa fungu la 10 jina lako linabandikwa ukutani. Safi sana !!!
View attachment 861635