JamiiForums Usiku wa manane

Dah mkuu basi kipindi hiko ndo tunaenda cafe kuchat na yahoo messenger, asee ile feeling ishapoteaga, km vile unasubiria barua kutoka kwenye basi kituoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo haiwezi kuwa rasmi mpaka wawe wahanga kwanza?
Wahenga waliokwepo kipindi kabla baba wa taifa hajazaliwa ndo wameandika kamusi tunayotumia sisi, sasa kizazi hiki cha sahivi wahenga wao ndo akina shoro mwamba, watoto wa watoto wao ndo watakuwa wanawaskiliza, huku wakiwa wanavaa nguo zilizoisha kabisaa [emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dunia simama nishuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…