Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Mi masomo nilikuwa nayaona mengi hadi yanakera, ila biology ndo lilikuwa easy wala sihangaiki nalo, ICT ndo ilikuwa computer studies mkuu, nlikua nalipenda hadi basi hasa pale napoachiwa mda wa free nitumie PC, japo kuna maswali nlikua naona nyota,Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali. O level ukitoa ICT na english
Masomo mengine yote nilikua nafanya paper kufikisha 50 tu na kweli zilikua hazivuki[emoji23] afu tukawa tunapeana moyo sana na washkaji
Ndio[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ule wa miaka ile?
Hivi huyu na jje's nani mkubwa nani mdogoumenikimbia shambani hahahaha
Kwa mchanganyo huo au mkologo huo utumbo utashika adabu zake...Nitakuletea chai ya tangawizi, kitunguu saumu na limao uchangamshe utumbo
Wahenga walishasepaga kitambo, sahv kuna akina msaga sumu, sholo mwamba, virus mdudu mmoja, ndo wana misemo ya ajabu sasa kuingizia kwenye kamusi ndo ishu ila watakuja kuwa wahenga hapo baadae kwa kizazi hiki kilichowehukaHivi kwanini siku hizi hatutungi methali, vitendawili na misemo mipya?
Naomba maji kiuHivi huyu na jje's nani mkubwa nani mdogo
Chabo si uungwana Astelia .Kumbuka chabo liliponza Waziri..[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwanini?Wezi wengi uwa wanapoteza muelekeo wanapokimbizwa kimya kimya,Ususani mkimbizaji awe kavaa mzuli...
Vidole vyako vinagombania kugonga herufi, vitulize, hizi ni kazi zao wasigombanieAstelia kama kawaida yako mkono mmoja glass mnoko mmoja unagonga like...
mwanangu aje aje bossmmhh sijaot kuhusu mambo ya muvi
Biology kwangu ilikuA jiwe sanaa. Daftari nikaliweka dom nikawa sisomi coz niliona napoteza time.nimekuja kusoma miezi ya mwisho nikatoka na DMi masomo nilikuwa nayaona mengi hadi yanakera, ila biology ndo lilikuwa easy wala sihangaiki nalo, ICT ndo ilikuwa computer studies mkuu, nlikua nalipenda hadi basi hasa pale napoachiwa mda wa free nitumie PC, japo kuna maswali nlikua naona nyota,
Wanajua akipatika hato pelekwa Polisia,,[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwanini?
Kwa mbio zile kweli una kiu, vipi nikupe maji moto au ya baridiNaomba maji kiu
AmigoSawa mkuu, nimeunga mkono hoja....
Kama kobe, anachomoza kichwa tu[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo haiwezi kuwa rasmi mpaka wawe wahenga kwanza?Wahenga walishasepaga kitambo, sahv kuna akina msaga sumu, sholo mwamba, virus mdudu mmoja, ndo wana misemo ya ajabu sasa kuingizia kwenye kamusi ndo ishu ila watakuja kuwa wahenga hapo baadae kwa kizazi hiki kilichowehuka
mwl wa balimi wapi siku hizi baby shemMiss you more baby shem!