HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nazitupia pm au unasemaje?Basi naomba unielekeze lodge nzuri ambayo itanifaa ili nifikie hapo. Na wapi nikale nyama choma mida ya jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazitupia pm au unasemaje?Basi naomba unielekeze lodge nzuri ambayo itanifaa ili nifikie hapo. Na wapi nikale nyama choma mida ya jioni
Shimba nakuona ndani ya suti mzee baba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa poa
Kabisaaaa. Msukuma hapo sina wasiwasi. Kwema?Shimba nakuona ndani ya suti mzee baba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma mnanikoshaga!Kabisaaaa. Msukuma hapo sina wasiwasi. Kwema?
Walionea wivu ama?Hili jibwa vipi hili?
View attachment 855101
Niko tayari and am seriousJamani wenyeji wa Arusha naomba mnipokee kesho nakuja huko na sina mwenyeji. Aliye tayari kunipokea anitaarifu
Wewe nisubirie Mwanza mwezi ujao
Pm yako ina tatizoKuna nchi ya kuliwa hapa ndugu yangu... Ni shida tupu
Kwanini?
[emoji16]Mi naona wivu. Bora nifunge safari nije huko tuWewe nisubirie Mwanza mwezi ujao
Bado kidogoIvi kumekucha au bado
Hahahahaaa wivu ni kidonda ukishiriki utakonda
Miss you too Munchiei miss you hun