Nzuri sana. Imekuwa fupi mno [emoji134]
karibu arusha.Jamani wenyeji wa Arusha naomba mnipokee kesho nakuja huko na sina mwenyeji. Aliye tayari kunipokea anitaarifu
We huoni tumebakiza saa moja tu weekend iishe [emoji12]
Asante, utakuja stend kunipokea?
Aisee! Unakula nchi pande zipi?We huoni tumebakiza saa moja tu weekend iishe [emoji12]
Kuna nchi ya kuliwa hapa ndugu yangu... Ni shida tupu
Hapana sitaweza. Msimu wa mavuno nipo tight.Asante, utakuja stend kunipokea?
Siku moja moja sio mbayaKuna nchi ya kuliwa hapa ndugu yangu... Ni shida tupu
Basi naomba unielekeze lodge nzuri ambayo itanifaa ili nifikie hapo. Na wapi nikale nyama choma mida ya jioni