Upo wapi Mrs beautiful?Bora tukasogeze muda usiku mrefu kwakweli
Watu wanatunza ndoa saiv!!Leo lindo limepoa sana
Sent using Nokia Obama
Unanitafutaje? Wakati wakujua nyumbani
Mmmh
Asee,niunge tela?Astelia nakupitia best maana hapa nlikuwa nataka nimcheki mdananda mmoja ila nimeghairi
Eeh
Aargh
Mmeanza kutafutana ,tusiokua na watu,bora turudi chama tu
MmmhKingY masai kino halafu wewe @fydell wa arusha hapa upo mwenyewe afu kila siku unatupa ofa, njoo dar mapampula uone kazi.