Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Dah! Hiyo movie ilinipita aisee
Hahaaaa kumbe ndio maana aliitwa komando kipensi eeeh?
Vote, NtashukuruNikupe na kashata au gahawa tupu?
Ung'eng'e![emoji85]
Nipo hapa nishPga vitatu vya dawa ; commercial break kdgo niendelee n kAzi
Wote wabovu tuuu mim na ww hatujuiUng'eng'e![emoji85]
Ung'eng'e![emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti hata mimba ilikuwa haijafikiriwa.....nilikuwa mkubwa na akili zangu sema sikuwa na hobby ya movieNi very old, kabla ya NollyWood, Bongo Movie hata mimba ilikuwa haijafikiriwa.
At your age ilishapotea.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] heee Makubwa!Ndo jina lilitokea napo, na hakuwa na shati wala T-shirt, ilikuwa kifua wazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti hata mimba ilikuwa haijafikiriwa.....nilikuwa mkubwa na akili zangu sema sikuwa na hobby ya movie
Wazee wa mnaona kila mtu n mwanachama, npo na jimama fulani amazingDuh! Puli unapiga vitatu!
Aisee.
Wewe hapa hapakufai[emoji53][emoji53]Nipo hapa nishPga vitatu vya dawa ; commercial break kdgo niendelee n kAzi
Ushapata, sema kingineVote, Ntashukuru
[emoji85][emoji85][emoji85] nimeona aibuDuh! Puli unapiga vitatu!
Aisee.
Hahahahahah acha kuwekA vingwazo mkuuWewe hapa hapakufai[emoji53][emoji53]
Karibu ukae