Nipo ujue kazi ya ulinzi,inatakiwa ujilinde wewe kwanza, kumsubiri MTU hujui anakuja SAA ngapi kazi na anakuja na nini usiku huu
Kweli mkuu mi napiga doria hapa najaribu kuwauwa maadui wa Afya wajulikanao kama Anopheles, ila wanajua kukwepa mbinu zangu za kijasusiNipo ujue kazi ya ulinzi,inatakiwa ujilinde wewe kwanza, kumsubiri MTU hujui anakuja SAA ngapi kazi na anakuja na nini usiku huu
Acha nikae angle niwatazame mnavyo tiririka
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Wameenda kulenga mkuu02:03 ,naona mmelala sasa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Tusikua na ....tunapata tabu sana,na baridi la lindo