Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,561
Naww umeondokaAsante, na kwako pia
Naww umeondokaAsante, na kwako pia
TupoMpo ?
Karibu lindonii1:06AM
Nipo hapa sana tu nina ratiba mbili nikimaliza hii ninayofanya saa hizi naangalia documentary moja ya kulaliaKaribu lindonii
Documentary gani mimi niko nasukumizia page kazaa za kitabu hapa..Nipo hapa sana tu nina ratiba mbili nikimaliza hii ninayofanya saa hizi naangalia documentary moja ya kulalia
Naunga mkono hojaDoh asee
Nilikukuta kuna binti unammendea jukwaa fulaniSikumbuki maneno gani mkuu
Ayaaaaa hawa hawanipendi sema tumezoeana humu kwenye uzi. Nami natamani nipate mmoja kati yao..Nilikukuta kuna binti unammendea jukwaa fulani
Nikakwambia inakuaje uko single akati wadada wa humu wanakupenda