carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Umeona eeeh! Naomba uwe shahidi wangu maana naona wana mpango wa kunibambikizia hii kesi
mpeleke
sawa chief nitajitahidi, asante kwa ushauri.Basi jitahidi uwe na kula bila ya kuwekwa kwenye mboga itakusaidia
Thad nakuitia uber ije kukufuata hapo ulipo[emoji16]
mpeleke
msaidie tafadhali, hizo buku buku zimeanza na madhara sasa...
Leo hata kwa winchi hamnitoi hapa bar, nikunywa mpaka kuche....buku buku tu!nenda na hiyo uber...mkachukue, kesho tusije anza kuangaika kumtafuta.
kumbe tatizo ni baridi!!!!!Sana, huoni siku hizi Neybright, jje's, Kichwa Kichafu, Iceman 3D, Nleterewa Nganengo mumu na Manga ML wanalala mapema?[emoji12]
Hakika U rafiki mwemaNitakutetea maana ushahidi upo
Ila watu wamepotea humu jamani,tangu enzi za masikaSana, huoni siku hizi Neybright, jje's, Kichwa Kichafu, Iceman 3D, Nleterewa Nganengo mumu na Manga ML wanalala mapema?[emoji12]
Zinaongeza nguvu za ki....sawa chief nitajitahidi, asante kwa ushauri.
lkn zitanisaidia nini hasa?
tutakutoa na nanii sasa!!Leo hata kwa winchi hamnitoi hapa bar, nikunywa mpaka kuche....buku buku tu!
Leo hata kwa winchi hamnitoi hapa bar, nikunywa mpaka kuche....buku buku tu!
Ndio....kumbe tatizo ni baridi!!!!!
@Mr Miller amekataaKwenda wapi tena? Kwani tumekuja wote?
nguvu za ki ndio nguvu gani?Zinaongeza nguvu za ki....
Hahahaaa mvua ziliwaachia mazao...sasa hivi wanajiandaa kuvuna[emoji4]Ila watu wamepotea humu jamani,tangu enzi za masika
Sijui mvua bado hazijesha
mablanket yapoNdio....
Siendi popote....hiyo hela ya ubber nipeni ninunulie bia kadhaa hapa nijinyweemkifika mtoe taarifa
acha ubishi Thad, nikija huko...Kwenda wapi tena? Kwani tumekuja wote?
Nguvu za ndoanguvu za ki ndio nguvu gani?