amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
ukiwa na amu jua hakuna ofa ya vitu vichungu mambo ya viti virefu,hapa utapata vitamtam tuMmmh munalindiana usiku? Na ofa ya vitam vitam ,asee Ndio uende umepewa ofa
ukiwa na amu jua hakuna ofa ya vitu vichungu mambo ya viti virefu,hapa utapata vitamtam tuMmmh munalindiana usiku? Na ofa ya vitam vitam ,asee Ndio uende umepewa ofa
HahahaSi mtu chake jomoniiii,.au nimekosea mahali?![emoji85]
nitaenda kwakweliEeh 'NUNDU' ina 'mafuta mafuta' asee mnapeana vinono tu Unatatipika Bana wee kweli sina changu,nitafanyaje sasa hkn namna,Hahaha, nenda ukapewe ofa ya NYAMA YA 'NUNDU' [emoji12]
[emoji12][emoji12][emoji12]jitahidi bhanaaaHahaha
Hahaha, hivi ndio vzr banaUsijali Mungu atakufanyia wepesi,inshaAllah
Haha,amu kinyama cha Hamu?ukiwa na amu jua hakuna ofa ya vitu vichungu mambo ya viti virefu,hapa utapata vitamtam tu
Kufanyaje tena?[emoji12][emoji12][emoji12]jitahidi bhanaaa
Mwenzangu!! Mtu yuko porini unafkiri utaagiza nini?au nimuagizie majani pori?"kima roast na ndizi 2" aisee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],.ww wasema,.Hahaha, hivi ndio vzr banaHaha,amu kinyama cha Hamu?
Aseee si mchezohii inapatikana chole road masaki,village sea cliff,coco beach kijiwe kingine Shunie akitoka lupango atatutajia
Hee,.em hukoo,.kutafutaa utakaaje kizembe hivyo,.Kufanyaje tena?
Ukale NUNDU yenye mafuta mafuta?sawa nasubiria nikatoke ushamba na mimi,
Nitakuletea usijariMwenzangu!! Mtu yuko porini unafkiri utaagiza nini?au nimuagizie majani pori?
Kwako wewe mimi mtoto Millerburger!!! hizo za watoto...
[emoji23] [emoji23] sio weye ndio wasema,afanye wepesi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],.ww wasema,.
Hahaha, hivi hivi bana,kizembe zembe ndio poaHee,.em hukoo,.kutafutaa utakaaje kizembe hivyo,.
Kalaghabao[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahaha, hivi hivi bana,kizembe zembe ndio poa
thank u honey i will let u knowChagua ww location,.
hii kauli imencheksha sanaUkale NUNDU yenye mafuta mafuta?
Ndio,.Allah subhanna wataAlla[emoji4][emoji23] [emoji23] sio weye ndio wasema,afanye wepesi?
ahsante mpendwaNitakuletea usijari