JamiiForums Usiku wa manane

Ati nina nini? Nitake radhi swahiba.
Kwanza jana ulikiuka makubaliano yetu
Kumradhi swahiba nilijua una mipengo,Jana nilizama kwenye matope jukwaa moja hv halieleweki nikanasa hapo si unajua sie wenye 2wheel drive ukiingia kwenye tope mpaka pakauke na usingizi ukanibebea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…