Thad [emoji17]Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.
Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carba.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!
Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
[emoji15][emoji15][emoji15]woyoooooooo
Abeee!Thad [emoji17]
Missed you MaseratiYou such a dear. Nimewamiss jamani, sanaaaa.
Asante kwa salamunimekumiss sana Thad na member wa mida ya popo wote. Baba chanja miss you
Habari ya siku nyingi!Abeee!
Kumbe na wewe umekuwa mtoro siku hizi eeeh![emoji848]You such a dear. Nimewamiss jamani, sanaaaa.
Asante kwa salamunimekumiss sana Thad na member wa mida ya popo wote. Baba chanja miss you
Asante comradePole sana
[emoji8] [emoji8] [emoji8]You such a dear. Nimewamiss jamani, sanaaaa.
Asante kwa salamunimekumiss sana Thad na member wa mida ya popo wote. Baba chanja miss you
Tupo tumejaa tele ka pishi la mcheleKuna watu humu mida hii?
Ulikuwa unaumwa?Asante comrade
Karibu kwa mara ingineTupo tumejaa tele ka pishi la mchele
Nzuri shem, naona kijiwe kimepooza leo sijui ndo mambo ya weekend?Habari ya siku nyingi!
Tabia ipi hiyo?Hii tabia sikua nayo!
weekend hii nafkiri,Nzuri shem, naona kijiwe kimepooza leo sijui ndo mambo ya weekend?
Thad jamani umepotelea wapi Karibu tena!Jamani M kathias za siku?
Hahahahaaa ujumbe wangu haumaanishi muache kukesha[emoji12]
weekend hii nafkiri,
Karibu tena humu.....nilikuMiss.
Niliwamiss mno ndugu zangu.Thad jamani umepotelea wapi Karibu tena!