JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ni saa ngapi huko nchi ya uzinduzi?
Ngoja nifungue banda la chips niite mzinduzi mkuu na wapambe wake wote.
 
Habarini wote
Wale POPO
wenzangu vipi
Bado mnapopolaizi ?
Samahanini sikuwa lindoni nilitekwa na PONO road.
 
Nimeota natype halafu nimeota kuna Mwifwa na Demiss nao wanatype [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nalala tena waongezeke kwenye ndoto yangu . Nataka hadi nimuote Kichwa Kichafu leo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Miss you more...
 
Back
Top Bottom