Utazoea taratibu kikubwa unatakiwa uwe mchangamfuHaha me sio mzoefu lakini ...... Unajua kuna watu wakienda ugenin wakiulizwa unataka chai au soda kun wengin hua waatasema nipe soda akati chai inaiva
Sasa kuparamia kweny nyuzi zenye wenyej na wazoefu co poa
Nishakaribia mkuuNjema Boss karibu jamvini
Umeona ulivyoupendi maendeleo yangu sasa nakuwa wakili wakoWakili tapeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jana mlifanya sifa eeeh!Nilitumia lugha gongana kumradhi ni kagunia kausingizi naona kamejaa kichwani.
Kamanda lindo hadi mida ile utafika
Niko na sandarusi mpyaaa,jichanganye uone[emoji41][emoji41]Hivi nikikuROMA nitakuw nimekosea kweli
Kwani ile kesi yetu imeishia,wapi?Umeona ulivyoupendi maendeleo yangu sasa nakuwa wakili wako
Humtaki wakili Mwenye swaga wakili mwenye briefcase ya kataniSikutaki utakuwa mamluki, unataka nishindwa kesi eeeh!
Nimekuelewa mkuu shukran lakiniUtazoea taratibu kikubwa unatakiwa uwe mchangamfu
Na wewe yamekusibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi naondoka
Tumuundie tumeMmmmh,[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wakili anayevaa suruali ya pinki,shati ya kaniki,kiremba kichwani,miwani myeusi na kichwani nywwle za kijani kama uwanja wa taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humtaki wakili Mwenye swaga wakili mwenye briefcase ya katani
Mwl.maombi yangu vip? Mwisho nitaghairi sasaKaribu sana, anza kutamba uwanja uko wazi
Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe yamekusibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesi yako tunaisogeza mbele naona umechanganya maelezo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaondoka na wangapi leo?
Unaibiwaaaa unanibiwaa x2@Thad umegundua nini hapo?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji102] nakuonaAnaondoka na wawili
Mkewe(baby yake)na mumu[emoji125][emoji125][emoji125]
Aaah! Mzee mbona bado upoNasinzia ile nzuri bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] jana mlifanya sifa eeeh!