Kule skuitwa baby wala sku muita baby, tulisha limaliza lileMkubwa, hii sentensi inahusisha ule uzi uliopaishwa kwamba unamilikiwa watu wakae chonjo na wewe au ile siredi tunaiweka chemba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ujue unanichekesha sana jamaniKaa mbali na mwanaume aliyekamatika au akiharibu, akiitoa hiyo sauti kukuita Baby mwenyewe unajisogeza huku unafyonza na kunung'unika chinichini ila ushakolea grisi...
Utaniweza????
Shost huyo jamaa ni tapeli na muongo kama unavyomuona kwenye avatar yake....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakutania, nafanya mpango nikuoe ww.!
Yaan nimechanganyikiwa balaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka nimecheka kwa nguvu. Vile unaishiwa nguvu unajaribu kuita kwa sauti ya chiniii "baby"
Nakuita wewe mpenzi wangu mzuriUnaiita mimi au una muita jose?
[emoji276] [emoji276] [emoji276]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana shemeji. Mbona na yeye alikukuta umekumbatiwa lakini[emoji85]
[emoji23][emoji23]Mkubwa, hii sentensi inahusisha ule uzi uliopaishwa kwamba unamilikiwa watu wakae chonjo na wewe au ile siredi tunaiweka chemba?
My sisPoa mumu usiejulikana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo yako?
My themu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitetee mama
My rafikiPOLE sana Chief,.
Shukran sana, niko byee sasa.Thanks mumu
Pole sana na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tapeli anapokutana na tapeli mwenzie imebidi aombe arudi Kesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe mwizi,nisie julikanaShost huyo jamaa ni tapeli na muongo kama unavyomuona kwenye avatar yake....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhaha poa saana dia,tupo!!!Poa mumu usiejulikana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo yako?
NoooMsamehe bhana,mkono uliteleza.
Unajua kujitetea.Baby nisamehe nikuambie kitu kizuri na kikubwa nilichokigundua kutoka kwako leo,
Embu punguza hasira tuongee mpenzi wangu,
You know how much I love you iceman usihadaike na vitu vidogo vidogo kama hivyo, kwanza wala haikuwa serious mpenzi wangu jamani.
Punguza kuchanganyikiwa,unammix shemeji angu baba mdogo chanja. Mara Jose baby Mara baba ake mdogo chanja mupenzi.Yaan nimechanganyikiwa balaah
Ntaenda ya 2 ChiefNitafurahi, ibada ya ngapi utaenda?
Nakujali baba ake mdogo chanja,maana kaka ako nae hali mbaya kafungwa Leo. Sina amani,nakupigania shemela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan nna hasira ila una nichekesha.
Hivi wewe unanijali kweli nduguyo?
I know baby,Nooo Ney
Halaf naumwa ujue si vzuri kubishana na mgonjwa
HapanaBaby nisamehe nikuambie kitu kizuri na kikubwa nilichokigundua kutoka kwako leo,
Embu punguza hasira tuongee mpenzi wangu,
You know how much I love you iceman usihadaike na vitu vidogo vidogo kama hivyo, kwanza wala haikuwa serious mpenzi wangu jamani.
My sis