Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
[emoji106]
[emoji106]
Watu wa Mungu usiku mwema
Mnaokesha kesheni salama
Hello. KaribuHallow
Haya tukutane muda wa kufungando mda sasa wa kufungua
wacha weeMissing you
Asante neyMissing you
Popoozz[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Kulala kupo kwa aina nyingi,Acha fujo tumelala
Kulala kupo kwa aina nyingi,
Kuna kulala usingizi, kifudifudi, chali, upande wa kulia/kushoto na kulala macho.
Wewe umelala aina ipi?
Nani yupo hapa
SawaUpande wa Inna
Mimi nipo... We Sergio mbona kama wame kuunganishia ID zako zote za Sergio 5 na Alonso???? Au sio hivyo?Nani yupo hapa