angalia tu huko usisababishe ajali mkadondokaHabari za humu chombo inaerekea mtwara natokea arusha nitapitia kwa bwashee mshana jr pale mwanga!natakiwa niwahi kirudi arusha kabla ya saa 9 kwa hiyo kama inata lift umeumia
hivi ni dawa ya mbu au sumu ya mbu[emoji3][emoji3]Nilienda kuchukua dawa ya mbu
Itakuwa, mbu wake wanaumwa kaamua kuwanunulia dawa ili awatibu [emoji12] [emoji12] [emoji12]hivi ni dawa ya mbu au sumu ya mbu[emoji3][emoji3]
Haya..Tangulia najaHaya fanya uje tulale sasa
Teh teh..Tunaishi Kwa mazoea mkuuhivi ni dawa ya mbu au sumu ya mbu[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Itakuwa, mbu wake wanaumwa kaamua kuwanunulia dawa ili awatibu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kweli huo ndio ushauri wako?
Haya bwana wakija hawa wafuatao utawapa salamu zangu, waambie ikiwapendeza wanipe ushauri wa hili linalonitatiza nitaukuta nikirudi:
1.HB wa kigogo
2.Spade 4 spade
3.Manga ML
4. Mwifwa
5. alibakari
6.Ipogolo
7.Nleterewa Nganengo
8. Mjr95
9.ArleN
10.mgunga pori
AiseeNamba 7 angesikia hats usingizin angeeamka
But anyway let us leave it had I waone wenyewe
Ujumbe umefika
Karibu tenaLongtyme sijapita hapa!
Pita hapa machinjioni upate kitoweo kdtNapita
Mtapata tu mkiwekeza mbegu sehemu yenye rutubaTeh teh..Mpenzi upo macho tu?..Tutapata mtoto kweli kwa style hii
Wewe mlinzi mbona umeegesha, huo ndio weledi wa kazi?Nawatafuta walinzi wenzangu walio ktk lindo kama Mimi!
Naona Mwalimu mwenzangu baada ya kutoswa na Mwanafunzi wetu ndio umeibuka tena[emoji34] [emoji34] [emoji34][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi huu ushauri uliomba lini? Kweli mawani yangu iliyopotea itabidi niitafute.