Namba 7 angesikia hats usingizin angeeamkaKweli huo ndio ushauri wako?
Haya bwana wakija hawa wafuatao utawapa salamu zangu, waambie ikiwapendeza wanipe ushauri wa hili linalonitatiza nitaukuta nikirudi:
1.HB wa kigogo
2.Spade 4 spade
3.Manga ML
4. Mwifwa
5. alibakari
6.Ipogolo
7.Nleterewa Nganengo
8. Mjr95
9.ArleN
10.mgunga pori
Nawe pia mamy....Naona huu.mbembelezo sio was kawaida, natangulia home nakusubirusichelewe
Wengine wote uck mwema.
Hayo ndio manenoNgoja nitafute ushauri mzuri Dear
Nakupenda sana jirani yangu maana umekuwa ukinijali na kunifatilia pia, Mungu akuweke miaka Mia moja ujirani wetu udumu milele.Ndio maana niliona kimya kimetawala jirani yang
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini #7 kati ya 10?Namba 7 angesikia hats usingizin angeeamka
But anyway let us leave it had I waone wenyewe
Ujumbe umefika
Tatizo hujataka kuwa wazi dear ndio maana tunapata ugumu kutoa ushauri, embu mtaje huyo muhusika tujue tunakushauri kitu ganiKusema kweli sikutegemea kama wewe jje's, Inna na Neybright mneniangusha katika hili....
Nilijua mtakuwa wa kwanza kunishauri vizuri kumbe....."Mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe" [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nitakupm kesho nimelewa saiviNdiooooo!
Kutwa nzima sijala kisa nasubiria ubuyu wako, we nawe ukaniyeyusha
Carnival Morena royal village rose garden plutnam cape townHao waheshimiw Unakutana nao maeneo yapi?
Ulale salama mpenzi, upunguze na wivu kidogo jamaniNaona huu.mbembelezo sio was kawaida, natangulia home nakusubirusichelewe
Wengine wote uck mwema.
ExactlyWe ni muumini wa nabii Tito si bure
Balimi zako wakati unafundshwa na bwana Yule tayari nimekuandalia we jilipue ila usinitaje kama nimekushauri. [emoji23]Nipo hapa, mapenzi yanautesa mtima wangu...naomba ushauri tafadhali
NimeponaaaKweli umepona mama
Kipenzi wala hahikuwa hivyo lovUlivyo
iambia unaenda washroom kumbe ulienda kuongea na Demise were, stipend ugomvi na we we ujue
Njoo nikupe ushauri kabla hujasepa juma tenaHaya bwana naona mmegoma kunishauri....ngoja niondoke zangu msije mkanichoma nikakamatwa na polisi kama nabii wangu Tito
I believe in love. I believe in U, bbyCount on me bby I won't let u down.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnadhani mimi sitamani kubebishana namna hii? [emoji17] [emoji17] Nishaurini bwana
Wa manane mkuu. Habari yako mkuuUsiku.
Kesho tena?Nitakupm kesho nimelewa saivi
I can't wait sweetie. Im cominNaona huu.mbembelezo sio was kawaida, natangulia home nakusubirusichelewe
Wengine wote uck mwema.
Ur cumin!! Lol...unapata rahaI can't wait sweetie. Im comin