Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi tushatumbuliwa komredi, wanafunzi siku hizi wanataka waalimu vijana, hensamu na wenye seven pack[emoji85]
Kiufupi tushakua Zilipendwa[emoji3]
Ndio maana Mwanafunzi wangu Thad simuoni wiki ya pili hii
Huenda kahama shule