JamiiForums Legends of ALL Time

Wezi hao cheza nao mbali kabisa. Hawakawii kukwambia ile milioni 15 yako tutakupa 1.5 million tu TUMEFILISIKA. Unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Milioni 13.5 ndiyo bank washaikwapua.

Eeeh mwanangu mtaji unakua.... capital ya maana halafu saving nafanya kwenye international banks maana banks zetu ndio vile e tena
 
Wezi hao cheza nao mbali kabisa. Hawakawii kukwambia ile milioni 15 yako tutakupa 1.5 million tu TUMEFILISIKA. Unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Milioni 13.5 ndiyo bank washaikwapua.
Hatari sana. Naskia na wewe umekuwa hendisamu boi zaidi ya vile eti hadi FaizaFoxy anakula ugali kwa picha yako... eti apetaiza
 
Malejendari kwangu ni wale waliojiunga 2009 kuja Chini, hawa wa 2010 Wengi wacks walivutwa na upepo wa uchaguzi wa Dr.Slaa vs JKM
 
Back
Top Bottom