Basi kama hilo kwake ndo pambo then sio mchaguaji mzuri wa mapambo coz what I think about mapambo atleast 75% should admire that pambo but hili la kaka blessings mhh hapana kwa kweli
ukiwa jf lazima uwe na kifua kipana aisee hii kauli yako mh kama inaukweli ivimmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
Basi kama hilo kwake ndo pambo then sio mchaguaji mzuri wa mapambo coz what I think about mapambo atleast 75% should admire that pambo but hili la kaka blessings mhh hapana kwa kweli
Dah kumbe duniani kila mtu anamwenzake nilidhani kuna watu hawana wenza dah!Bora nikaege hivi hivi!
It's
not about you or anybody else, it's about thr two of them.
Unajua wanapeana vitu gani?
Chochote watakachokuwa wanapeana bado haiwezi kubadilisha mwonekano wa mandhari!It's not about you or anybody else, it's about thr two of them.
Unajua wanapeana vitu gani?
Ofcourse we all know its about the two of them, by the way I truly
admired @bleesings he seems to have true love over that kind of a woman
Pole nimejikuta maneno haya yananitoka tu! Lakini mhm kunawatu wanamoyo wa nazi mhm nibora waniite jioga la wanawake!Hahhhhhahhhhahhha aisee leo mnanivunja mbavu
Chochote watakachokuwa wanapeana bado haiwezi kubadilisha mwonekano wa mandhari!
Sasa
kama unajua habari ya "it's about the two of them", habari yako ya "si
mchaguzi mzuri" inatoka wapi?
Kwani anakuchagulia wewe?
Utajuaje kizuri kwake ni kipi?
Usimpoteze mwenzio kabugi akialikwa kwenye afla yenye adhi wahudumu wanapita bila kumuuliza kama anakunywa vinywaji!Mwonekano kwa nani?
Mtu anaoa mke wake, si mke wa jamii.
Kwa hivyo, muonekano ukimridhisha yeye kiasi cha kukubali ndoa, ndoyo ushamridhisha, wengine hamhitaji kuridhishwa.
Hata King Kong alichukua mtoto bomba.
Usimpoteze mwenzio kabugi akialikwa kwenye afla yenye adhi wahudumu wanapita bila kumuuliza kama anakunywa vinywaji!
Pole nimejikuta maneno haya yananitoka tu! Lakini mhm kunawatu wanamoyo wa nazi mhm nibora waniite jioga la wanawake!
Usimpoteze mwenzio kabugi akialikwa kwenye afla yenye adhi wahudumu wanapita bila kumuuliza kama anakunywa vinywaji!