JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

hii ni ndoto..mtandao ukupe mke au mume duu !! kuja kulaumiana tu!!

Laana inapatikana kokote kwani unayekutana nae hapa si ndo unayemtamanitamani hapo kitaa au kwa vile tunatumia fake id
 
Hata hivyo mi nimefarijika kama huyo dada kapata mume hb kama kaka blessings kumbe one day na mimi nitaolewa pamoja na sura yangu hii.

Ni pm nikupe namba ya whatsapp unitumie kapicha!
 
Last edited by a moderator:
Acheni wivu kwangu tunapendana mi na mke wangu nyie endeleeni kuchonga twajilia vyetu kwa nafasi

Nimependa hii my brother... aaaahhhaaaa... waache waseme si mchana tuu , ikifika usiku hao wanatafuta vitanda vya kulala.... after all kazi ya mdomo ni kula na kwa kidunia ... . wakati ulimwengu Wa kiroho ni kupiga maombia bila kuchoka .. Hongera sana dear Mungu abariki sana ndoa yenu.... Amen.. Thanks..
 
Ndo kashawekwa ndani tyenaaaaa!!! Umba wako mwenye sura nyepesi

Aaahhaaaaa .. mbavu zangu aaaaahhhaaaa .. wow yaani Jf full stress free... asante kwa kunifurahisha dear... Thanks..
 
Back
Top Bottom