JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Kweli kabisa, sura ngumu nini kama mtu kishapendwa bhana!! Alafu tabia yakumwona mtu ni mbaya sana, weo wana uzuri upi wakupiga kelele za kumfedhehesha binadam mwingine. mtu alizaliwa mzuri na akajijua ni mzuri huwa hana mbwembwe, mbwembwe tunazo wateja wa mchina tu kwasababu hATUJIAMINI.
Umeona enh! Halafu wengine tunachoshindwa kufahamu ni kwamba kila mmoja ana taste yake... na taste yako itabaki kuwa yako na ya kwangu itabaki kuwa yangu na kinyume chake ni yale ya heri ya nusu shari... kwamba ali mradi nimekosa Coca cola, basi acha nijitahidi na hii hii Pepsi! Na kwenye mahusiano kila mtu ana priorities zake... wakati wengine wanaangalia body context... mguu mzuri, pua mzuri, reception iliyoenda shule; na kuna wengine wanaangalia body content... kichwani zimo au hazimo!!
 
alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe hongereni sana maharusi.
 
NasDaz una swali jingine?????:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:
Hahahahahaaaa... naona unaendelea kuishi kwa matumaini kila leo baada ya kuona ya kuona totoz tbs zote zinaendelea kukukimbia na kujivuta karibu yangu! Ona, sikutumia nguvu kubwa:
Sasa inabidi nikukague vile vile manake hilo ndo darsa ambalo Asprin amesema anataka kunipatia... sawa, enh?!
Huyu hapa Sweetheart
Don't worry my dia
Mwingine anaitwa my dear na mwingine anaitwa babu, tena babu mwenyewe Asprin, dukani bei yake sh'ng mia!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa... naona unaendelea kuishi kwa matumaini kila leo baada ya kuona ya kuona totoz tbs zote zinaendelea kukukimbia na kujivuta karibu yangu! Ona, sikutumia nguvu kubwa:Huyu hapa SweetheartMwingine anaitwa my dear na mwingine anaitwa babu, tena babu mwenyewe Asprin, dukani bei yake sh'ng mia!!!

Hahahaaaa umenifanya nimecheka
 
Last edited by a moderator:
Nimewafurahi kwakweli Mungu na awape maisha yenye furaha na amani, na abariki kazi za mikono yeni. Uzao wenu na ubarikiwe
 
Hahahaaaa umenifanya nimecheka
Umeona sasa NasDaz??? We unamchekesha mchuchu, lakini kwangu Sweetheart hacheki bali anafurahi.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumchekesha na kumfurahisha mrembo, you know??

Orayt, We endelea kuwa Mr. Bean wake nami ntaendelea kuwa Mr. Right wake.

Deal???
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa umenifanya nimecheka
NI faraja kwangu kuona ukiwa unafurahi kwani kwa sasa sina kibarua kingine zaidi ya kukufanya the most happiest woman under the sun! hiyo ndo njia pekee ya kukusahaulisha madhira ya Asprin za mia mia, tena za kuchota na kufunga kama karanga!
 
Last edited by a moderator:
Nimewafurahi kwakweli Mungu na awape maisha yenye furaha na amani, na abariki kazi za mikono yeni. Uzao wenu na ubarikiwe
Ameen... nami dua zangu naongezea hapo hapo mara milioni moja kidogo!!
 
NI faraja kwangu kuona ukiwa unafurahi kwani kwa sasa sina kibarua kingine zaidi ya kukufanya the most happiest woman under the sun! hiyo ndo njia pekee ya kukusahaulisha madhira ya Asprin za mia mia, tena za kuchota na kufunga kama karanga!

Hahahaaaa umenifanya nimecheka
Acha kumwekea mchuchu maneno mdomoni. hajasema umemfurahisha bali umemchekesha.... kumfurahisha ni wajibu wangu peke yangu.
 
Umeona sasa NasDaz??? We unamchekesha mchuchu, lakini kwangu Sweetheart hacheki bali anafurahi.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumchekesha na kumfurahisha mrembo, you know??

Orayt, We endelea kuwa Mr. Bean wake nami ntaendelea kuwa Mr. Right wake.

Deal???
Kucheka ni kiwango cha juu cha kufurahi na ndio mana huwezi kusikia wakisema furahi uongeze maisha bali cheka uongeze maisha! Sidhani kama kuna deni kubwa kwangu mbele ya Sweetheart The Beautiful zaidi ya kumfurahisha kwa kiwango cha juu kabisa hadi afikie kucheka na hatimae kuongeza maisha ili kufidia yale aliyopoteza kwako!
 
Chinekeeeeeeee!!!!

Mr. Bean wewe bhana. Nchekeshee mchuchu huo ili baadaye niupe raha utamu upate kufurahi.

Hivi hujawahi kuona watu wakilia kwa furaha???
 
Acha kumwekea mchuchu maneno mdomoni. hajasema umemfurahisha bali umemchekesha.... kumfurahisha ni wajibu wangu peke yangu.
Bwah! Bwah! Bwah! Yaani kuna hatari Asprin zikasanda muda si mrefu na kugeuka kuwa klorokwini!!! Yaani baada ya kuona hali inazidi kukuwea mbaya ndo umeamua kupiga majungu na fitina! Sweetheart, come this way my princes...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Jamani na mimi sasa nimeamua kutafuta mchepuko mwema, wa ke karibuni!
 
Chinekeeeeeeee!!!!

Mr. Bean wewe bhana. Nchekeshee mchuchu huo ili baadaye niupe raha utamu upate kufurahi.

Hivi hujawahi kuona watu wakilia kwa furaha???
Hahahahahaa! Naona dozi imepitiliza kutoka kuwa Asprin hadi klorokwini na sasa imepitiliza kugeuka kuwa kwinini... hebu kaa vizuri, huku nikichanganya na maji kidogo ili nikutandike sindano ya kwinini kabisa... na sindano yenyewe ndo hii hapa:
hahaha babu bhana siku hizi nishakutoa kwenye kapu niko na NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom