Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Hahahaaaa umenifanya nimecheka mkuu
Watu tuna experience humu bhana
Hahahaaaa umenifanya nimecheka mkuu
Hahahahaaaa! Utamfanya ndugu yangu Asprin adondoke chini kwa kihoro manake utakuwa unabashiri anguko lake!Kiongozi mie nimetambua juhudi zako tu...hahahaaaa..we mkareee!
Mke ni pambo la ndani ila sidhani kama huu usemi utakuwa applicable kwa kaka blessings.
Surely love is blind
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha
:lol: Akaaa ndio maana niliamua mapema kujitambulisha kwa jina ili siku tukiagizwa picha wala hashtuki mtu
hahahahaah... sasa wakati wake ndo ushapita manake totoz mmoja baada ya mwingine anasepa na kumwachia taharuki!Asprin ashazila sana hizi...awaachie na nyie mjimwaemwae sasa..!
Watu tuna experience humu bhana
Hongera mwaya naona best man anamwangalia mno huyo mdada aliyekaa hapo chini . Mmependezea sana hongera kwa mara nyingine baada ya miaka kadhaa mtakua mnafanana sijui kama kweli lkn manake watu husema watu wakikaa pamoja muda mrefu hufanana hasa wanandoa.
mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.