JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Duh, kweli upo katika hali ngumu... manake unatapatapa ile mbaya! Umeona fitina hazitoshi sasa umeamua kunikabidhi wengine ili nikuachie upumue kwa Sweetheart, the apple of my eye!!!
Usisahau, mwenzako huwa naitwa hivi

Huyu tumboo hana lolote.
 
Last edited by a moderator:
JF kuna vituko I'm sure girls wote wa humu wakiweka picha zao wanaomfikia huyo bibi harusi kwa uzuri si zaidi ya 6 kati ya Kama mabinti zaidi ya 30,000 wa JF
 
JF kuna vituko I'm sure girls wote wa humu wakiweka picha zao wanaomfikia huyo bibi harusi kwa uzuri si zaidi ya 6 kati ya Kama mabinti zaidi ya 30,000 wa JF
Sema wewe Viol yani kuna watu humu wanapenda kuzodoa zodoa wenzao
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha yupo kama dada mmoja hivi wa humu ndani mwenye jina linaloendana na muonekano wa huyo waifu
 
Guys mmeona iyo **sherehe yetu blog** xo mleta uzi ka anazingua ivi
cc blessing
 
My mimi nitatupia my pic soon, just wait.
ILA jf kwel kiboko, inatuachaje njia panda. wakati mwingine kibibi kama mimi nikiongea watu wanadhani ni binti wa under 18, kumbe ajuza mie sura ishakunjana, miguu inarudi nyuma badala ya kwenda mbele lakini nipo tu. ha haa haaa haaa.

:lol: Akaaa ndio maana niliamua mapema kujitambulisha kwa jina ili siku tukiagizwa picha wala hashtuki mtu
 
Ebwana hongera sana, kumbe inawezekana ……
 
Huyu tumboo hana lolote.
mnh! Shy land na wewe sasa naona unaanza fitina zile zile za Asprin! Huyo tumboo, alias my Sweetheart, hata kama hana lolote, mie poa tu hivyo hivyo coz' sihitaji lolote wala chochote toka kwake bali namuhuhitaji yeye tu, basi! Una lingine?
 
Last edited by a moderator:
JF kuna vituko I'm sure girls wote wa humu wakiweka picha zao wanaomfikia huyo bibi harusi kwa uzuri si zaidi ya 6 kati ya Kama mabinti zaidi ya 30,000 wa JF

Hahahaaaa umenifanya nimecheka mkuu
 
mnh! Shy land na wewe sasa naona unaanza fitina zile zile za Asprin! Huyo tumboo, alias my Sweetheart, hata kama hana lolote, mie poa tu hivyo hivyo coz' sihitaji lolote wala chochote toka kwake bali namuhuhitaji yeye tu, basi! Una lingine?

Achana nae uyo ana kijiba cha rohoo
 
Last edited by a moderator:
Achana nae uyo ana kijiba cha rohoo
omg! Hivi unafahamu nilikuwa naugua kiasi gani niliposhindwa kukuona muda wote huu? I felt like dying coz' life meant nothing without you! oh! shit... nilitaka kusahau... did i tell you kwamba you look even more sexy and beautiful with that brassier? Asprin, jiandalie kitanzi...
 
Last edited by a moderator:
NasDaz naona spidi kali sana kwa Sweetheart....hahaha! Kiongozi umeamua kweli...kaza buti!
 
Last edited by a moderator:
omg! Hivi unafahamu nilikuwa naugua kiasi gani niliposhindwa kukuona muda wote huu? I felt like dying coz' life meant nothing without you! oh! shit... nilitaka kusahau... did i tell you kwamba you look even more sexy and beautiful with that brassier? Asprin, jiandalie kitanzi...

Hahahahaaaa....vidume bana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom