JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Hee!!!! jamani, usiseme hivo sasa kama dada wa watu yupo humu jf atajisikiaje??.
Bila shaka yupo humu coz' alikutana na bwana harusi humu humu! all in all, awe na sura ngumu au laini, mwenyewe ndo keshampenda huyo hawa wengine watabaki tu kupiga kelele za vyura ambazo mkuu blessings wala hazitamsumbua!!!
 
duhh! mbona hukutualika? wengine bado hatujapata hongera
 
Me ctii maana muumbaji ana kusudi lake bt hakuna mbaya wala mzuri wote 2po sawa mbele zake muumba.
 
My umenikurupusha Kha!!!!!. ujue nilijua ndio wewe. bidada wa haja kwa kweli. wacha nami nitupie HONGERAAA.

haaa my mwenzio kabla sijasoma kimoyomoyo nkafrah nkasema twin weeeeee mola ashukuriwe milele na milele amina! my jf nikama jungle ohooooooo!
 
Bila shaka yupo humu coz' alikutana na bwana harusi humu humu! all in all, awe na sura ngumu au laini, mwenyewe ndo keshampenda huyo hawa wengine watabaki tu kupiga kelele za vyura ambazo mkuu blessings wala hazitamsumbua!!!

Kweli kabisa, sura ngumu nini kama mtu kishapendwa bhana!! Alafu tabia yakumwona mtu ni mbaya sana, weo wana uzuri upi wakupiga kelele za kumfedhehesha binadam mwingine. mtu alizaliwa mzuri na akajijua ni mzuri huwa hana mbwembwe, mbwembwe tunazo wateja wa mchina tu kwasababu hATUJIAMINI.
 
haaa my mwenzio kabla sijasoma kimoyomoyo nkafrah nkasema twin weeeeee mola ashukuriwe milele na milele amina! my jf nikama jungle ohooooooo!

My mimi nitatupia my pic soon, just wait.
ILA jf kwel kiboko, inatuachaje njia panda. wakati mwingine kibibi kama mimi nikiongea watu wanadhani ni binti wa under 18, kumbe ajuza mie sura ishakunjana, miguu inarudi nyuma badala ya kwenda mbele lakini nipo tu. ha haa haaa haaa.
 
Khakhakhaaaaaaaaaaa eti ajuza my u made my day kwakweli thanks uuuuuuuuu mbavu zangu mieee my weeee!
 
Back
Top Bottom