Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Washamba wa Dar unawazungumzia Wazaramo, Waswahili na Wakwere?
Dar imejaa Wasukuma, Wajinga, Wachaga, Wapare, Wamasai n.k
Sijataja kabila, nimezungumzia vijana baadhi wanaoishi mijini wakidhani wanaoishi nje ya miji mikubwa bado ni washamba na hawafahamu mambo mengi...

Mfano hii mada ya mabinti wa kisukuma wengi wanadhani ni washamba wanaoishi porini huko wamepauka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…