Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Uzi wako upo poa sana,nitaufuatilia kwa undani zaidi,maana ukiwaza kwa undani zaidi hasa kuhusu ulimwengu na kilichomo humo ,hakika ukweli unanukia
 
Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina yao haikutoka katika biblia . Usijifariji kwamba ww nawe ni kama Galillee wa sasa kwa kuwa uongo wako umegonga mwamba. Huwezi kudanganya watu wazima kuwa shetani na jeshi aliloshuka nalo baada ya kutimuliwa mbinguni eti ndio waliopandikiza uhai ndani yetu na wakati shetani mwenyewe kaumbwa kama viumbe vyote na muda wake wa hukumu unamngoja katika ziwa la moto. Wewe kama unajua jibu maswalu ya hapo juu sio unakwepa unajifanya Galillee hapa. Kuna malaika muasi anacontrol fahamu zako ndio maana huoni aibu kuwa wakala wa kusambaza uongo . TAKE CARE KUNA MOTO WA MILELE USIPOUEPUKA MAPEMA UTAINGIA PAMOJA NA LUCIFER HUKO KWENYE ZIWA LA MOTO. SALIMISHA MAISHA YAKO KWA MUNGU.
Ww ni binadamu wa karne ya 21 kweli?
 
Nani kasema kuwa shetani ndiye aliyepandikiza uhai ndani yetu?
 
Unatakiwa uwe muwazi tunajua maagent si true tu Bali mko wengi unaweza kujifanya mchangiaji kumbe mwenzie mea sababu umekuwa mwepesi kumsapoti luxgsm ya kwamba hajajibu maswali yetu hapo juu hakuna cha humanoids wala reptonoids bali malaika waasi wakiongozwa na lucifer mwenyewe na wanasubiri hukumu yao na kwa wanajaribu kutafuta wary wa kwenda mal motoni na ili kufanikisha hilo wanasambaza uongo juu ya Mungu wa kweli kupitia mawakala wa kibinadamu ambao mmojawapi ni mtoa mada na walengwa ni wale wote wakaokubaliana nae. TAKE CARE
Huyo mungu wa kweli amejulikana kwako tangu lini?
 
Tulia wewe, wapi unaona jazba hapo sasa!

Kama hao viumbe wako wapo, wambie waje wanifundishe wenyewe na sio wewe maana naona hujui unacho nieleza nakama hawatokuja kunifundisha basi waambie wakae mbali na sisi wanaadam tumuabudio Mungu...

Mnatuletea porojo za kwenye kahawa hapa, eti unadhani ndo utatutisha na vijina vyako vya kingereza sijui humanoid, sijui nini.... Hapa ni Kuabudu tu!

Tukutana nao akhera huko!
Kwahiyo mkuu nikikwambia umwambie huyo mungu aje anifundishe kuhusu yeye atakuja?
 
Kwahiyo mkuu nikikwambia umwambie huyo mungu aje anifundishe kuhusu yeye atakuja?
Elimu kashakufundisha kabla hata ujazaliwa, yaani ukiwa bado hata hujageuzwa kua makamasi mazito elimu ipo tu!

Hata hivyo hakuna kitu utamfanya mungu hata usipojifunza uwepo wake, ispokua wewe ndio umtafte aliko ndo umsome, ujifunze na umuelewe, yeye hana time ya kuahangaika kukufundisha wewe mpaka uelewe.. (he gave u the ability to choose) sasa unaweza kuchagua kumjua au ukachagua kumsubiri aje akufundishe...

Nakushauri dada (labda kama wewe ni mwanaume) jitume wewe mwenyewe kwakushirikisha wanaojua kumtambua mungu b4 its too late, hasara ya kutokumjua mungu itakukuta wewe mwenyewe na nafsi yako!

Bye for now
 
Mkalibari said:
Elimu kashakufundisha kabla hata ujazaliwa, yaani ukiwa bado hata hujageuzwa kua makamasi mazito elimu ipo tu
Unawezaje kumfundisha mtu wakati hajazaliwa?

Unajua kazi ya ubongo ni nini?

Hata hivyo hakuna kitu utamfanya mungu hata usipojifunza uwepo wake, ispokua wewe ndio umtafte aliko ndo umsome, ujifunze na umuelewe,yeye hana time ya kuahangaika kukufundisha wewe
Hapo juu ulisema ameshamfundisha kabla hajazaliwa

Huku napo unasema hana mda wa kumfundisha

Why u contradict urself dude?

[(he gave u the ability to choose) sasa unaweza kuchagua kumjua au ukachagua kumsubiri aje akufundishe...

Nakushauri dada (labda kama wewe ni mwanaume) jitume wewe mwenyewe kwakushirikisha wanaojua kumtambua mungu b4 its too late, hasara ya kutokumjua mungu itakukuta wewe mwenyewe na nafsi yako!
Na huyo Mungu unayemzungumzia wewe ni yupi?
 
Ukiitazama dunia vizuri utagundua miaka 100 au 1,000 iliyopita kuna tofauti kubwa sana.
Kuna vitu tulikuwa tunavichukulia haviwezekani lakini sasa vimewezekana na tunaviona vya kawaida kabisa.
Wakati wazazi wetu kutoka lyra wanatuleta hapa duniani, wao walikua tayari wameendelea na wana technology ya hali ya juu.
Hebu jiulize kwa sasa watakua wapo vipi tangu muda huo?

Kwahiyo hawa wazazi wetu hawataki kujipambanua kwetu ili kutuondolea sintofahamu? Binafsi naona unajaribu ku-alter maandiko na kuweka tafsiri mpya ilhali umetumia kitabu kile kile. Nauhakika utawapata wengi sana na hii mada yako kwakuwa tayari tunaandaliwa kuamini kutokuwepo Mungu,hivyo theory kama hizi zinatuvuruga sana.
 
Satanic version of creation,

Mimi mwanadamu sikutoka huko unapo pasema wewe, mimi nimetokana na baba ADAM alie umbwa directly na Mungu mwenyewe, sasa unaponiletea hizo blah blah zako sikusomi kabisa!

BTW sisi tumuaminio mungu tumeshataadhalishwa na watu kama nyinyi kua mtakuja na singeli zenu nyingi tu kuhusu kutaa Uumbaji wa mungu, pia tuliambiwa kua huwa amridhiki mpaka muoneshwe facts kwa kuona au kugusa...

Najua utakuja na hoja za kwamba dhibitisha kama mungu yupo, sijui nani alimuumba mungu, sijui mwambie mungu abadilishe uelekeo wa jua n.k

Kabla hujauliza ntakwambia kua Mungu hua alekezwi cha kufanya na stupid lizard kama wewe, he does at his will!

Najua mta/utanishangaa kua mbona kama nimeandika nje ya mada na hata kujibu maswali ambayo bado hayajaulizwa!
Trust me, hii mada ndiko inakoelekea...
Sasa wewe acha kua kilaza si amekwambia kua Mungu ndo aliumba sa unabisha nn au ulokole wako unakuchanganya
 
Back
Top Bottom