JAMII LEO: Yaliyovuma JamiiForums, Alhamisi Julai 14, 2016 - (Video)

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,227
5,278
Yaliyovuma JamiiForums, Alhamisi ya 14 Julai 2016 ni pamoja na;
  1. MBEYA: Kijana wa miaka 20 afichwa ndani kwa miaka 11
  2. Al-Shabaab ashambulia kituo cha polisi Kenya, askari 6 wahofiwa kuuwawa
  3. MARA: Nyumba 300 zabomolewa..


Kumbuka ku-subscribe kwenye channel yetu ya YouTube ili kupata kujua yaliyojadiliwa sana kwenye mtandao wako pendwa wa JamiiForums kwa siku nzima, kila siku.

YouTube Channel:
@JamiiForums
 
bd2a71c5ef6a99f10f37b7cea1cdf9d4.jpg

Imenogesha Baraza
 
Viongozi Kiteto watahadharushwa,watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu wa sheria kanuni na taratibu,waaswa kukemea ukabila,Rudhwa

hayo yalielezwa na Mkuu wa mkoa wa Manyara Dr Joël Bendera alipozungumza na watumishi wa Serikali hivi karibuni..
 
Hii tabia ya kuficha watoto wenye ulemavu ndani imekithiri sana, na inavyonekana katika maeneo mbalimbali kuna watu bado wameficha watoto, nashauri wananchi tuonapo watu wanaoficha watoto tusikae kimya tutoe taarifa katika vyombo husika.
 
Hongera sana Jamii Forums; mnadhihirisha kuwa nyie ni ' Great Thinkers', picha za matukio zitanogesha hili wazo.
 
Aisee tumepata watangazaji maridadi sana, wapewe mikataba mizuri ya kazi ili isije kuwa baada ya miezi miwili tunaambiwa wamechukuliwa na ITV au Azam tv
 
Back
Top Bottom