Jamii Forums inakutanisha wapenzi hadi kwenye ndoa

Jamii Forums inakutanisha wapenzi hadi kwenye ndoa

Mi natafuta BUZI LENYE MIPESA YAKE LINILEE, Mwaka wa pili huu sipati kitu au nina nyota ya chipsi yai mieee, kupendwa na wanafunzi tuuu na broke a.ss. Nyie mapedeshee humu ndo kusema hamnioni ama mnanifanyia kusudi tuuu? :lol:. Nishaoga maji ya bahari mara kibaooo, au mpaka mtu anywe sumuu? Mfanye mjiongezee bwana sio fresh wala nini.:A S 20:
wewemtoto ningekuwa bongo ningekutongoza
 
wewemtoto ningekuwa bongo ningekutongoza
Indirectly voko endelea kuckilizia atajaa tu kwa ulipoanzia then unampanga after mwenzi ntakuwa huko tz nione kabisa kwa ajili ya kukutengenezea namba ya whatsapp ya nchi utakayomuambia upo .cku ukimdanganya unadondoka bongo mmet unatafuta pamba kali tu kuhusu mpunga usihofu wanawake huwa wanajifanya hawapendi pesa mwanzo kama akikutana na mtu anaehisi ni wa maana kuliko hawa bwana zake jipange tu na ya guest na ya vinywaji vya kuzugia Apooo ukishamtafuna hakuna kugeuka nyumaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom