Jamii Forums inakutanisha wapenzi hadi kwenye ndoa

yote yanawezekana.....

hongera zao nyingi.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu kama umefikia hatua ya kutoa taarifa hapa sidhani kama kuna ulazima wa kuficha majina..ukiona mko kwenye mahusiano na mnakaribia ndoa ila still mahusiano yenu ni ya kujifichaficha hapo kuna walakini
Siku zijazo nitatoa majina yao halisi na ya ID lakini kwa kibali chao. Jamaa kaniambia bado hajala mzigo nikuambia siutamwaribia kwa sasa? Hapa mimi nimetoa tu ushuhuda wa JF inavyokutanisha watu
 
Wahusika wana haki pia ya kutaka majina yao ya humu yawekwe hadharani au la.
Nitawaomba ridhaa mkuu....wakikubali nawapost tu, Ila nimetoa ushuhuda wa jinsi JF inakutanisha watu mpaka wengine wanafikia stage hiyo

  • Thanks
Reactions: BAK
Mi natafuta BUZI LENYE MIPESA YAKE LINILEE, Mwaka wa pili huu sipati kitu au nina nyota ya chipsi yai mieee, kupendwa na wanafunzi tuuu na broke a.ss. Nyie mapedeshee humu ndo kusema hamnioni ama mnanifanyia kusudi tuuu? :lol:. Nishaoga maji ya bahari mara kibaooo, au mpaka mtu anywe sumuu? Mfanye mjiongezee bwana sio fresh wala nini.:A S 20:
 
Tatizo lako wewe unaenda kwa waganga wa kienyeji kupata ushauri ndiyo maana. Hebu mgeukie na Mungu kama wewe ni Mkristo anza na toba kwani Pasaka hii ndiyo pake. Then baada ya miezi miwili utakuja hapa kushukuru. Lakini Mungu huwa ana makusudi yake anaweza kukupatia maskini lakini baada ya muda mfupi mkawa matajiri wa kutupwa kuliko hata hao mapedeshee unaowatamani. Kama ni kweli zingatia ushauri huu

Hahahahaaa! Nimuombe Mungu kupata buzi kweli hio si kuvuta simba sharubu? USHAURI WAKO HAUNIFAI.

Mjadala umefungwa turudi mada kuu maana watu hawashindwi kuukomlia.
 
Tehe! Tehe! Tehe! Ok anyway nilidhani unatafuta mume......

Back
Top Bottom