Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Nimejaribu kutumia windows phone kuingia jf lakini napata matatizo lukuki. Kwanza nikitaka kureply keybord inatokea in a second inapotea. Siwezi kuandika. Na pia kwanini hakuna application ya jf for windows phone? Napata tabu sana wiki nzima sipo jf. Mods nisaidieni kwa hili..
Ahsanteni.
Ahsanteni.