Jamii forum hii lol!

Chinekeeeee!!
mwanamke wakujihami hivi haki ya nani hajatulia ila anajifanyisha tu.
Shem (whoever you are)
akili kumkichwa yako.

We umetuliaaa au heee najuaaa upoooo hayaa tambaaaa ukanyonywee
Kwa taarifaa simuachiiii na kanisamehee kajinyongeee naona umelazimishwaaa kuja humuu huniumiz kichwaaaa
 
Jaman shemeji akusameheeee

Usipokuwepo hapa mi itakuwajeee??

Shem mambo ya kawaida hayaa msamehe dadanguu

Hayaa humu ntaanza kupunguaaa aiseee binamu warumi atakomajeee kunikosa kwenye umbeaaa
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni kumlainisha akuelewe mwambie tu ukweli na iman mambo yataenda poa. mume anauma jaman ckupatii picha ulivyo mnyonge

Kweli mdogo wangu yani mume ni mtamu sana ila mkikosana uwiiii unahisi kuzimia zimia tu
 
Kweli mdogo wangu yani mume ni mtamu sana ila mkikosana uwiiii unahisi kuzimia zimia tu

Yaaan bado nambembelezaa si unajua mahaba niueeee mi nshakufa nishaozaaaaa kwakeee basi tuu
 
Waja watanifanya niondoke duniani nihamie Mushtara.

Hivii kwaninii jamanii ina maana mi kutetea diasporaa ndio hivii haya nataka na serikalii tatu sasa na hapo sijui wamseme naniii
 
Hivii kwaninii jamanii ina maana mi kutetea diasporaa ndio hivii haya nataka na serikalii tatu sasa na hapo sijui wamseme naniii

Halafu kwa nini iwe mimi na si mwingine? Mbona mi naona unajimix na wanaume kibao tu humu.

Sijui nina nini tu. Huwa napakaziwa mengi mno.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…