Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

pamoja na yote hayo, haihalalishi kwa raia yeyote yule kujichukulia sheria mkononi kiasi hiki,kuna maana gani ya sasa ya kuwa serikali?
sheria zimetungwa ili zivunjwe,na zinavunjwa duniani kote hata ndani ya vatcan.

Sasa tuacheni unafiki kujifanya eti tumeumia sana wakati kumbe tuko kisiasa zaidi.
Je wajua kuwa huko kanda ya ziwa kuna mama na mtoto wamechinjwa kama kuku?
 
Kwanini gazeti limehujumiwa hili ndio swali la kujiuliza kwanini lihujumiwe?
 
Utanunuaje nakala zote kwa faida ya nani?
 
Watu wanaitafuta hela kwa tabu, kila siku wanahangaika kwenye madege mara mid east, mara far east, mara europe, halafu mdosi aje achukue kiulaini eti kwa sababu anaijua sana QuickBook na Tally khaaaa!, yaani abofyebofye tu keyboard ya computer achukue 6billion? U r nt serious
hela ngumu asee,mimi hata laki tano lazima ataitema tuuu.
 
Inaonekana huyu mhindi alizipiga kweli hizo bilions ubaya amekutana na mtoto wa kiarabu nao wanakuaga wabaya kwelikweli.

Haingii akilini. Kamwe asingelithubutu kufuatilia kwa kiasi alichofanya. Ukweli usionashaka ni kuwa kampuni husika ni mali ya wakubwa wa serekali na ccm. Hivyo basi alichofanyiwa huyu bwana ni maagizo kutoka kwa hao anaowategemea wamsaidie kupata haki yake.
Kuuwa au kutesa binadamu sio kitu katika utawala wa nchi hii ili kugain maslahi binafsi, itakuwa faru na ndovu?
Kazi ipo!
 
Kinana nawe unatuambiaje? umepata nakala ya Barua ya mtanzania huyu? je ilani ya chama chako haihusiki na ulinzi wa raia na mali zao?
Watanzania, huyu mtu anahitaji msaada wetu...tushirikiane kila mmoja wetu kwa nafasi aliyonayo kuhakikisha haki inatendeka. Serikali haina muda wa kutulinda tulindane wenyewe tafadhali..tuanze na huyu. Mabilionea wataendelea kutunyanyasa, leo kwa huyu kesho kwa mwingine kati yetu.
 
Mahakamani mtakwenda nyinyi ambao hamna uwezo/nguvu ya kujitetea kwa aliekuibia, mahakama za kibongo unapoteza muda tu, hata Kama atakutwa na hatia atafungwa jela wewe utapata nini? Simama ujitete mwenyewe.

Na yeye huyu aliye lawitiwa akiwapa majambazi milioni kumi wakamlawiti Edha watakwenda tena mpaka familia nzima wataifanyia!
Lakini jee ndio tuishi hivyo?
Hio sio sahihi kabisa
 
Kwani wale wanaokamata mwizi pale tandale halafu wakamvisha tairi wakamchoma moto, huwa wanafanya vile kwa kibri cha pesa? Mkuu wewe unaujua uchungu wa kuibiwa ulichokihangaikia kwa Jasho lako?

Hayo ya tandale mara nyingi hufanywa na machokoraa wa mjini na sie alie ibbiwa. Na huwezi kulinganisha na wizi wa ofisini na mitaani. Huku ni mob justice nao si haki pia.
Na huyo jamaa hana ushahidi.
Kuna ushahid kuwa alimfanyia hivi kwani alipata kazi oil company nyengine.
 
Na yeye huyu aliye lawitiwa akiwapa majambazi milioni kumi wakamlawiti Edha watakwenda tena mpaka familia nzima wataifanyia!
Lakini jee ndio tuishi hivyo?
Hio sio sahihi kabisa

Tuache kuiba
 
Na yeye huyu aliye lawitiwa akiwapa majambazi milioni kumi wakamlawiti Edha watakwenda tena mpaka familia nzima wataifanyia!
Lakini jee ndio tuishi hivyo?
Hio sio sahihi kabisa
hamna mtu anaeunga mkono mambo kama hayo,ila hapa logic inatufanya tusifikie conclusion...hii maelezo ya mdosi yako onesided,hakuna maelezo ya upande wa pili.

Pia evidence za kuwa sexual assaulted sidhani hata kama anazo.anavodai baada ya tukio amekimbia kujificha zenj,kwanini hakwenda polisi na kisha hospital kuchukua vipimo ili awe na evidence kuwa walimwingilia.?.
Unadhani kwa maneno tu mahakama yaweza kutia mtu hatiani?.
Isijekuwa baada ya kunyang'anywa mali na akaja na hizi story ili a get even na boss wake.
 
Khaa!! Pole mkuu haki yako utapata. Lakini tuliambiwa Lake oil ni mali ya Ridhwani K

Ni kweli ni mali ya Ridhwa K huyo jamaa ni mmilki kwa kusimamia, kama Kiwete anavyoimliki tz. kwa kuisimia Tz. ni ya watanzania.
 
Hayo ya tandale mara nyingi hufanywa na machokoraa wa mjini na sie alie ibbiwa. Na huwezi kulinganisha na wizi wa ofisini na mitaani. Huku ni mob justice nao si haki pia.
Na huyo jamaa hana ushahidi.
Kuna ushahid kuwa alimfanyia hivi kwani alipata kazi oil company nyengine.

Mkuu, ushahidi dhidi ya mdosi upo wa kutosha sana, tatizo alieyeibiwa akipeleka mahakamani hatopata haki yake, mdosi ataishia kufungwa tu na ally ataishia kupata hasara ya kuibiwa tu, ndio maana mshkaji akaamua kutumia njia mbadala kupata/kurudisha haki yake. Ally hajamwibia mdosi, kachukua chake, hayo mengine yametokea baada ya mdosi kuwa mbishi kurudisha haki ya ally, tena hapo mdosi kibiashara alitakiwa arudishe na riba.
 
Uhuru wa habari uko wapi tanzania?hongera sana Jakton Manyerere na kamanda Balile kazi mnayoifanya ni kubwa sana hao mafisadi wa kuhujumu haki za wananchi wataumbuka tu hasa huku uraiani
 
haki haiombwi inachukuliwa....
fungua kesi ya madai mwenyewe
pili kama unazo pesa ujue unapambana na mafia.....jifundishe mbinu za wale walimshughulikia yule wa home shopping centre ambaye naye inadhaniwa alikua na tabia hii ya kujifanya yupo juu ya sheria.
kova hatakusaidia hata siku moja issue inapokuja matajiri.
labda waziri mkuu atalifatilia

Mzee wa intelijensia huwa anarembua tu
 
The log is getting dry too fast!!!!!!!

Come what may!!!!

Deo Corleone add some senses in whatever you are reading!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli ni mali ya Ridhwa K huyo jamaa ni mmilki kwa kusimamia, kama Kiwete anavyoimliki tz. kwa kuisimia Tz. ni ya watanzania.

Hapa tatizo si Mdosi kuadhibiwa kwa wizi wa mabilioni alio muibia Ali hapa tatizo ni umiliki wa Lake oil kuhusishwa na Riz 1 laiti Lake oil ingehusishwa na Mtei au Mbowe ingekuwa stahiki ya Mdosi yalio mkuta. Huyu Mdosi ameiba pesa nyingi sana mpaka amekuwa bilionea kwa mshahara wa 6m tu kama nini nisingeishia kumlawit yeye tu ningewalawit mpaka ndugu na mjirani zake hapo upanga.
 
Mimi kuna bosi mmoja namfahamu,my ex boss,anampaka lokapu yake ndani ya ngome..ukila shoti (kupata loss)unaweka lokapu hata miezi mitano na wakati huo wapambe wanazungukia asset zako,nyumba,ng'ombe etc wanataifisha mpaka pesa irudi.
Kama huna asset wanakupeleka direct mahakamani unakuta hakimu ameshasetiwa unakula mvua fasterfaster,na hapa naongelea loss ya milion 3,4,5.
Chezea.
 
Sikiliza ewe mtu unayeendeshwa na feelings badala ya uhalisia huyu mtu hii ishu imefanywa kwa hali ya chini sana hata kama ameamua "Mafian ways" this is too low a performance for the chosen tactic!!!!!

Mind you hii sio ya mwanzo wala ya mwisho kutokea dunian ila kuna "confession" na "communion" na kila moja ina jinsi ya kufanya na dhumuni lake sasa kwa hili ni "confession" ila implication yake ndio hii sasa serikali imeingia mtegoni katika kipindi ambacho imani ndio inahitajika sana!!!!!

It is "unprofeesional" na watekelezaji wake sasa in real sense kama ni mafian way ioi hiki liishe hao ni lazima wauawe au ifanyike plastic surgery kuwabadili sura sasa hii kadhia ya nini wakati ingeweza kufanyika under a "silent mode"????!!!!!!!

M not supporting anything kwa pande zote ila tu hili linaamsha mengi ambayo kwa sasa Taifa halikuhitaji kuyajadili kama tufanyavyo hapa sababu ya watu wawili ambao ina way wote ni "suspected deviants so far" !!!!!!!

Ni indicator mbaya sana hii na inaashiria a certain class is really digging a grave for its own burrial!!!!!! So sad but reality has to be said atleast.....
 
Mimi kuna bosi mmoja namfahamu,my ex boss,anampaka lokapu yake ndani ya ngome..ukila shoti (kupata loss)unaweka lokapu hata miezi mitano na wakati huo wapambe wanazungukia asset zako,nyumba,ng'ombe etc wanataifisha mpaka pesa irudi.
Kama huna asset wanakupeleka direct mahakamani unakuta hakimu ameshasetiwa unakula mvua fasterfaster,na hapa naongelea loss ya milion 3,4,5.
Chezea.

Hiyo ndio formula yangu mkuu, ukiniibia nikikugundua nakulipisha Mimi mwenyewe siendi polisi wala nini, tena na riba utalipa, Kama huna kitu, nakufunga mvua nyingi na nawalipa mabwana jela wakulawiti kwa siku mara tatu, asubuhi, mchana na jioni.
 
Back
Top Bottom